Other materials in the Swahili language
Featured Book:
MKUMBUKENI MKEWE LUTU
Featured Book:

MKUMBUKENI MKEWE LUTU

“Mkumbukeni mkewe Lutu,” Yesu alisema. Yumkini ni ufafanuzi wa kuvutia, wenye nguvu ambao Bwana aliwahi kuutumia katika hubiri. Tunaposoma muktadha, ni dhahiri kwamba maneno yalikuwa yakielekezwa kama mfano kwa wale wanaoishi sasa katika sayari hii. “Siku ile” inahusiana na “siku ile atakayofunuliwa...

Free Book Library - Swahili

Matini zifuatazo ni utangulizi kwa ajili ya kuelewa zaidi somo hili la Har-Magedoni. Biblia ni kitabu cha matukio sambamba, kivuli au ishara (kwa ajili ya kuwakilisha jambo lijalo). Jambo hili huifanya ...
Mara kwa mara maswali huibuka katika umma wa Kikristo kuhusu utambulisho halisi wa mhusika wa ajabu katika Biblia, ajulikanaye kwa jina la Mikaeli, mara nyingine huitwa Malaika Mkuu au Mikaeli Jemadari ...
Viumbe wa Mungu wanapaswa kuishi ndani ya mazingira ya uumbaji wa Mungu. Mimea na wanyama sharti vidumu kuwa katika nchi kavu na majini, vikijipatia vyakula vyake. Mimea na wanyama-samaki vilivyowekewa ...
Amazing Bible Studies Free Enrollment